Habari zenu
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24,nlikuwa na mchumba wangu ambae tulipendana sana'
Kila kitu kiliharibika pale nilipomtambulisha kwa rafiki yangu wa karibu Marha, alianza kubadilika,
na akanambia kuwa anampenda sana rafiki yangu Martha tena nimbemblezee ili amkubalie, 
sijamwambia chochote Marha hadi sasa hivi, nampenda sana boifrend wangu,
Naomba ushauri wenu jamani kwani nampenda sana mpenzi wngu
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment